Kituo cha radio cha Tanakh FM 105.9Mhz kinachomikiliwa na mtumishi wa Mungu Dr. Peter E. Ikera kimekamilika. Zoezi la ufungaji wa mitambo hiyo lililoanza mwezi November mwaka 2021 limefikia tamati na kwamba kituo hiki cha radio kitaanza kurusha matangazo yake muda wowote kuanzia hivi sasa.
Karibu ofisini kwetu Moshi Mjini mtaa wa Rau Pia tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii INSTAGRAM NA SISI UTABURUDIKA,ELIMIKA,NA KUPOKEA KILE UNAVYOKIHITAJI KATIKA JINA LA YESU.